1 Kings 6:2
2Hekalu hilo Mfalme Sulemani alilojenga kwa ajili ya Bwana lilikuwa na urefu wa dhiraa sitini, ▼▼ Dhiraa 60 ni sawa na mita 27.
upana wa dhiraa ishirini ▼▼ Dhiraa 20 ni sawa na mita 9.
na kimo cha dhiraa thelathini ▼▼ Dhiraa 30 ni sawa na mita 13.5.
kwenda juu.
Copyright information for
SwhKC